HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING by Dale Carnegie
Hivi karibuni nimesoma kitabu cha DALE CARNEGIE, HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING.
DALE anasema kua,kua na wasiwasi ni kupoteza mda kwa maana hakuna tatizo ambalo limewahi kusolviwa kwa kua na wasiwasi. matatizo yanatatuliwa kwa kuwaza mawazo sahihi na kuyafanyia kazi. Erma Bombeck o aliwahi kusema "worring is like a rocking chair, it gives you something to do but it never get yo anywhere".
Karibu karne zilizopita mwandishi Dale Carnagie alikua akifundisha public speaking katika mji wa new york akaona jinsi gani wanafunzi wake wanavyoangaika na wasiwasi usiozaa matunda. baada ya kujifunza njia za kupunguza wasiwasi kutoka kwa watu kama HENRY FORD, in ww2 admiral ERNEST KING alitumia njia ya public speaking kutest hizo njia alizo jifunza. kwa miaka mitano wanafunzi wake wamekua wakitest njia za kuzuia wasiwasi na kuonyesha jinsi gani zilivyokua na manufaa, Dale Carnagie alisema "nahisi nimekua mtu ambae nimesikiliza sana mazungumzo ya jinsi ya kushinda wasiwasi kuliko mtu yeyote yule hapa duniani"
kuna njia nyingi za kuweza kupunguza wasiwasi lakini Dale aligundua njia tatu ambazo aliziona kua zinafaa. njia ya kwanza inakuondolea 90% ya kua na wasiwasi nja ya pili itakuondolea 10% na njia ya tatu itakufundisha jinsi gani unaweza kuzuia usiwe na wasiwasi
NJIA NAMB 1
ANALYZE YOUR WORRY Dale anasema kua tunapokua na wasiwasi tunashindwa kufanya maamuzi kwa sababu akili yetu inakua haituli hata kidogo, kwa hyo njia ya kwanza ya kuzuia hofu ni kuchukua karatasi na kalamu na andika KITU GANI UNACHOKIHOFI na NINI CHA KUFNYA kwenye upande ambao umeandika kitu gani cha kufanya andika maamuzi ambayo utayachukua na yawe kama matano na chagua uamzi ambao ni best kwako na fanyie kazi
NJIA NAMBA 2
ACCEPT THE WORST CASE SCENARIO tunapokua na wasiwasi tunakua na kitu ambacho tunakihofia sana sasa dale nsema kua tunatakiwa kukubali hicho tunachokiogopa na kutafuta jinsi ya kuishi baada ya hilo tunaloliogopa kutokea
NJIA NAMBA 3
LIVE IN DAY TIGHT COMPARTMENT njia hii itakuwezesha kuacha kua na wasiwasi kabisa unachotakiwa kufanya ni kuishi one day at a time na usiache yaliotokea jana kuaribu siku ya leo au hofu ya kesho kuharibu siku ya leo. ishi katika siku na jia pekee ya kuweza kufanya hivi ni kuamka kila siku na kuona kana kwamba umeanza maisha mapya na yote yaliotokea jana yamekufa na kuzikwa jana. jiambie kua nikiishi siku ya leo vizuri basi kesho itakua njema na acha kua na wasiwasi. katika kitabu hiki Dale Carnagie anasema "the best possible way to prepare for tomorrow is to concetrate with all your intelligence, all your enthusiasm on doing today's work superbly today. that is the only possible way you can prepare for the future"
Hilo ndo ndo funzo kubwa katika kitabu cha how to stop worryng and start living by dale carnigie. tafadhari comment hapo chini tuone jinsi gani unakifikiria kitabu

Reviewed by Maktaba
on
February 14, 2020
Rating:
No comments: