YOU CAN NEGOTIATE ANYTHING by herb cohen



Herb cohen ni mwandishi na pia ni negotiator. Ameandika vitabu vingi na moja ya vitabu vyake pendwa ni pamoja na hiki cha "you can negotiate anything" ni kitabu ambacho kimeuza sana na kimekua recommended na "world top negotiators" katika field zote biashara  mpaka kwenye "crisis negotiations".

Kama wewe ni mjasiriamali na bado hujakisoma hiki kitabu  aisee! Umepungukiwa silaha muhimu sana ambayo inahitajika katika mafanikio ya biashara yako. You can negotiate anything sio kitabu tu unachokitumia katika "professional level" bali kanuni zake zinaweza kutumika katika maisha yetu ya kila siku. 

Zifuatazo ni point 5 zinazopatikana kwenye kitabu cha you can negotiate anything by herb cohen 

1. Be aware that your negotiating Everyday

Watu wengi kitu ambacho hatukijua ni kwamba tuna "negotiate" kila siku katika maisha yetu. Labda unataka uongezwe mshahara, unataka mtaji, unataka kununua kitu unachokipenda na n.k.  pale unapohitaji kitu ambacho mtu mwingine anacho kunahitaji kuwepo na mazungumzo kati ya wew unaehitaji na huyu mtu alienacho, so hayo mazungumzo mnayokua nayo ndo "negotiation". So jiulize ni mara ngapi umekua katika "situation" kama hii na ukajua kua "unanegotiate".

2. Get as much information as possible about the person you want to negotiate with. 

Katika "negotiations" kua na taarifa juu ya kile unachonegotiate ni muhimu, ila ni muhimu zaidi kumfahamu mpinzani wako vizuri . Kwa maana taarifa ndogo tu inaweza kua na mchango mkubwa sana katika kukufanya ukanegotiate vizuri na ukafanikiwa kupata "best deal". Kitu kingine "negotiators" ni binadamu na hisia zao zinaweza kuathir maamuzi yao . Kufahamu vitu ambavyo mpinzani wako anapendelea kunaweza kukupa nafasi nzuri ya kumshawishi kama ukiweza kuconnect nae "in person level ".

3. Time matters 

Katika "negotiation" mda ni muhimu sana. 


4. Don't negotiate while in hurry 

Ushawahi kwenda kununua kitu ukiwa na haraka? Pale muuzaji anapokwambia bei kama unahela utaitoa hiyo bei aliokutajia kwa kua una haraka na pia unahitaji hicho kitu ulichoenda kununua kama huna hela utaondoka kwa maana kichwa chako kinakua hicho unachoharakia badala ya kile unachonegotiate. 

5. Don't let your opponent know that you love what you're negotiating for. 

Pale unapokua unanegotiate ni vizuri kuziweka hisia zako kando kwa maana mpinzani wako akijua ni kwa kiasi gani unahitaji hicho kitu basi ataweka mashart magumu ili kuakikisha kua anajinufaisha kwa maana anajua utakubali kutokana na uhitaji wako wa hicho kitu 

Hizi ni point chache tu ambazo zinapatikana kwenye hiki kitabu nasisitiza kua kama wew ni mjasirimali tafadhali soma hiki kitabu 




YOU CAN NEGOTIATE ANYTHING by herb cohen YOU CAN NEGOTIATE ANYTHING by herb cohen Reviewed by Maktaba on February 16, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.