GIDEONS SPIES


Kitabu: GIDEONS SPIES 
"The Secret History of the Mossad"

Muandishi: Gordon Thomas. 
Mchambuzi: Amani Milando

Maneno ya Utangulizi. 
Uchambuzi wetu wa leo ni kitabu 
kinaitwa Gideons Spies.kitabu hichi 
kilitoka mwaka 2000 and kina updated 
version ya mwaka 2009 ndicho 
nitakachokichambua hapa. 
Hichi kitabu kinaelezea historia ya moja 
katika idara bora kabisa ya ujasusi 
kuwahi kutokea duniani.Idara ya ujasusi 
wa mambo ya nje ya taifa la 
Israel,Mossad.Taifa la Israel linaamini 
wao wanaendelea kuwepo duniani kwa 
sababu ya ujasusi hivyo unapotaja 
Mossad unataja 'moyo' wa taifa hili 
mashuhuri duniani!.
GIDEONS SPIES GIDEONS SPIES Reviewed by Maktaba on September 27, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.