A CONVERSATION WITH GOD

UTANGULIZI


A conversation with God, ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi NEAL DONALD WALSCH. vitabu hivi vipo vitatu ambavyo vinaongelea ukweli kuhusu maisha kwa ujumla in a individual level, nchi, dunia na ulimwengu kwa ujumla.

Vitabu hivi vipo katika mfumo wa majibizano kati ya mungu na mwanadamu. mwanadanu akiuliza maswali na mungu huyatolea majibu kwa kina zaidi. Vitabu hivi vinajibu maswali mengi ambayo binadamu amekua akijiuliza miaka na miaka bila kupata majibu. kwa mfano, dhumuni la mungu kuumba ulimwengu ni lipi? kwanini maisha yapo jinsi yalivyo, jinsi gani unaweza ukawa karibu na mungu, ukweli kuhusu roho, ukifa unaenda wapi, je tuko wenyew hapa ulimwenguni, je ulimwengu unaelekea wap? je kizazi hiki nacho kitakubwa na uharibifu kama vizazi vingine vilivyokubwa na uharibifu katika historia na mengine mengi.

Hivi vitabu ni "must read" kwa mtu yeyote ambae ni mdadisi wa mambo. ambae anashauku ya kutaka kujua majibu japo kwa uchache juu ya mambo yanayotuzunguka. coversation with god kuna majibu hayo so usikose uchambuzi wa vitabu hivi hapa hapa kwenye blog yetu ya maktaba


A CONVERSATION WITH GOD A CONVERSATION WITH GOD Reviewed by Maktaba on February 02, 2020 Rating: 5

1 comment:

  1. Lucky Club Casino Site Review
    Lucky Club is a new online gambling platform. In 2021, we took a look at the company's history, the casino and other important aspects. luckyclub.live Rating: 4.4 · ‎Review by LuckyClub.live

    ReplyDelete

Powered by Blogger.