USILALE NA MWANAMKE KABLA HUJAUJUA UKWELI HUU
Na Nicodemus Mwanzalima
Umewahi kujiuliza kwanini *uume wako unasimama kwa ulegevu*.
Ili uume usimame kuna vitu vingi inabidi viwe sawa katika mwili wako.
1. mfumo wa hisia zako inabidi uwe sawa.
2.mfumo wa fahamu pia uwe sawa.
3.mfumo wa mzunguko wa damu mwilini uwe sawa kwani uume husimama tu baada ya damu kukimbilia kwenye uume kufuatia mtu kusikia hamu ya tendo la ndoa.
Lakini hamu ili ije inabidi mfumo wa hormones za mwili wako uwe sawa sawa.
Hormones ziwe katika uwiano sawa.
Mfano kuna hormone inayochochea wewe usikie hamu ya tendo la ndoa hormone ya testesterone .
Hiyo hormone kama ipo katika kiwango cha chini basi utasikia hamu kwa mbali sana au hakuna kabisa hivyo uume nao hautopata mawasiliano ya kupokea damu inavyotakiwa na hivyo utasimama kwa ulegevu au kutosimama kabisa.
Lakini pia ili uume ufanye kazi vizuri hasa wakati wa tendo inabidi mfumo wako wa misuli uwe vizuri.
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo inabidi yawe sawa kwanza ndipo wewe uone mambo yanakuwa Barabara/Konki
Kwa hiyo tatizo hili ni pana siyo kama watu wa navyo fikiri simple.
Na hivyo kutatua tatizo hilo inahitaji kuhakikisha chochote utakachofanya kinakusaidia kuboresha mifumo hiyo ya mwili. Short cut haitakusaidia kutatua tatizo la Erectile Diysfunction.
Utajikuta linazidi kuwa sugu siku ukija kutaka kulitatua sasa unakuta limeshakuwa kubwa sana.
Unakuwa huna tofauti na mtu anayepata kiupele anakidharau mwisho anakuta ni saratani (cancer). tutakusaidia kutatua tatizo lako KWA UPANA.
Ni wachache wanaopenda kutatua tatizo moja kwa moja.
*Wengi wanataka tu shortcut tu usiwe hivyo.*
Abraham Linkoln aliwahi kusema ukinipa masaa sita ya kukata mti nitatumia masaa manne kunoa shoka, hivyo kwangu nasema unapotumia vitu kujibust ni muda kwanini usijiandae kwa siku zote kwamba inapotokea uhitaji upo fiti siyo kutafuta suluhisho la muda mfupi kwa tatizo la muda mrefu.
Kwa mawasiliano zaidi 0754 006191.
MWISHO.
USILALE NA MWANAMKE KABLA HUJAUJUA UKWELI HUU
Reviewed by Maktaba
on
January 22, 2020
Rating:
No comments: