TO COUPLES

Kitabu:- To Couples
Mwandishi:- Dr. Julian Melgosa na Annette Melgosa
Mchambuzi:- Mary Robinson

"To Couples"  ni kitabu kilichoandikwa na WanaNdoa Dr. Julian Melgosa na Annette Melgosa. Kitabu hiki kinazungumzia Maisha halisi, changamoto, migogoro, furaha na karaha etc ya wapenzi hadi wanafikia uchumba na kufunga Ndoa, hatimaye kupata watoto na mwisho uzeeni hadi kifo.  

Pia kinatoa mwongozo wa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo. Kubwa zaidi ni jinsi ya kukabiliana na changamoto ya  kutenganishwa na kifo na mwenzi wako(mkeo au mmeo).  

Kwa ufupi kinazungumzia Jinsi ya kufikia uhusiano wa furaha na Imara na mpenzi/mwenzi wako katika hatua tofauti za maisha hadi nyakati za uzeeni na hata kifo. Kitabu hiki kina Sura 7 lakini ndani ya kila Sura kuna visura vidogovidogo.

Karibuni.
TO COUPLES TO COUPLES Reviewed by Maktaba on September 07, 2017 Rating: 5

2 comments:

  1. Nitakipata wapikitabu hiki Mary?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa Tanzania sidhani kama vipo. Ila ombi lako nimepeleka kwa Muuzaji mkubwa tu wa Vitabu hapa Nchini amenambia nimpe muda atavileta. So vuta subira.

      Delete

Powered by Blogger.