THE GREATEST MIRACLE IN WORLD

KITABU: THE GREATEST MIRACLE IN WORLD
MWANDISHI: OG MANDINO
MPITIAJI: FRANK LUMATO

UTANGULIZI
"THE GREATEST MIRACLE IN THE WORLD" Ni Moja Ya Vitabu Vilivyoandikwa Na Mwandishi Nguli Wa Vitabu Vya "Inspiration" OG MANDINO 
hiki kitabu kinazungumzia story ya mwandishi jinsi alivyokutana na mtu ambae kwa kiasi kikubwa alibadilisha maisha yake, sio kifedha kwa sababu tayari kaisha fanikiwa kifedha na wakati huo alikua meneja wa kampuni ya magaze "SUCCESS UNLIMITED"na alikua tayari na vitabu ambavyo kaisha viandika na vinamwingizia mara mbili ya mshahara Wake
"SIMON PORTER" akiwa ndie mtu ambae alibadilisha maisha ya mwandishi wetu Mr "OG" Kama yeye anavyojiita.

SIMON PORTER Ambaye Pia Ni "Ragpicker" Sio Ragpicker Mtu Anaeokota Makopo Kama Tunavyofahamu Ila Ragpicker Mtu Anaeokota Watu Waliokata Tamaa Ya Maisha, Ambao Hawana "Inner Peace" Na Ambao Wanashindwa Kuendelea Na Maisha Yao Ya Kila Siku Kwa Sababu Mbalimbali.

Simon Porter Ni Nani Hasa? Anafanyaje Kazi Zake? Kwa nini na  Alikuwa Ni Mystry Man Kwa Mr OG? Na Pia Tutakutana Na Larus The Four Legged Ally Of Simon.
THE GREATEST MIRACLE IN WORLD THE GREATEST MIRACLE IN WORLD Reviewed by Maktaba on September 08, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.