FLOW: The psychology of optimal exprience.

UTANGULIZI

Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu  vinavyohuau saikoloji basi na uhakika utakipenda kitabu hiki. kwa maana bali na kutoa mtazamo mpya na  chanya juu ya matumizi mazuri ya akili, flow pia inatoa njia ya jinsi ya kufikia utimilivu kamili wa matumizi ya akili.

FLOW

Milahy Csikzentmihalyi, mwanasaikolojia huyu alianza kulitumia neno flow kwenye kazi zake akiwa anaelezea jinsi ambavyo mtu anaweza akaea anafanya kazi fulani na kujikuta akiwa amezama sana katika hiyo kazi na kujikuta anasahau yale yote yanayoendelea katika mazingira aliopo. kwa mfano mtu anaweza kua anafanya kazi fulani labda kuanzia asubuhi akawa amezama sana kwenye ile kazi anakija kushtuka tayar kumeishakua mchana ama ijioni na wakati huo hakukumbuka kunywa chai wala chakula cha mchana sasa anabaki anajiuliza mbona masaa yamekimbia hivyo. mda umekwenda wapi?

Katika kitabu hiki mwandishi anafanya mahojiano na watu waliofanikiwa sana katika sanaa ya muziki,
 kama waimbaji, wapiga vinanda na zeze pamojs na mdaktari bingwa wa upasuaji ambao wote wanaeleza kua hufikia hatua flani ya msisimko pale wanapokua wanafanya kazi zao. pale ambapo wanajikuta wamezama kabisa kwenye kazi hiyo basi hao hujikuta kua sio wanaocontrol tena mikono yao bali wao huenda tu na flow 

Hiki kitabu ni kizuri sana yani kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu kuhusu saikoloji basi hiki kitabu ni hazina na tena ni msaada mkubwa sana kama unataka Published from Blogger Prime Android App

FLOW: The psychology of optimal exprience. FLOW: The psychology of optimal exprience. Reviewed by Maktaba on October 09, 2021 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.