5 BEST BUSINESS BOOKS TO READ 2020

Biashara saiv imekua ndio issue mjini hapa. kila mtu anataka kufanya biashara, kwa sababu tofauti tofauti. labda tayari una biashara yako, na unataka kuipeleka level zingine kabisa, lakini unakosa inspiration ya kitu gani cha kufanya. au idea mpya ambayo inaweza kupitch biashara yako kwenye level zingine kabisa. Hivi hapa vitabu bora 5 unavyoweza kuvisoma mwaka huu na vikakupa mawazo tofauti na jinsi gani unaweza kuiendeleza biashara yako.

1. PERSONAL MBA: master the art of business by JOSH KAUFMAN
Idea ya hiki kitabu ni kumpa/ kumfundisha msomaji, kila kitu anachohitaji kujua kuhusu biashara. lengo la mwandishi ni kumpa msomaji maarifa yote kuhusu biashara kama mtu ambae kapitia chuo na kusomea MASTERS IN BUSINESS ADMINSTRATION. hiki kitabu ni mwafaka kwa mtu yeyote iwe unaanza biashara yako au tayari unabiashara na unataka kuikuza kwenda kwenye level zingine.



Hiki kitabu kinahusu online marketing, jinsi gani unaweza ukaitangaza biashara yako. jinsi gani unaweza ukauza bidhaa yako kwa wateja na ikapokelewa kwa mikono miwili. idea zilizotolewa na mwandishi ndani ya hiki kitabu zinaweza kutumika sehemu zote. kutangaza biashara yako kwenye mtandao au kwa njia zingine





Kama una biashara na unataka ifanikiwe na kufika mbali alafu bado hujasoma hiki kitabu aisee uko kwenye matatizo. kwanni nasema hivyo? kwa sababu kila biashara lazima iwe kwenye category fulani, labda ni maswala ya usafiri, utalii, vyakula, teknolojia na etc. ni lazima kuainisha biashara yako iko katika category gani. kwa sababu kila category in category king na hii itakusaidia kudefine biashara yako iweze kueleweza vizuri zaidi kwa wateja na itakusaidia wew mwenyew kua na clear goal kufikia.




Hiki kitabu kinahusu jinsi ya kutangaza biashara yako. ni kitabu cha mda kidogo lakini principle zake zinatumika mpaka leo na good marketer. hiki kitabu kimeandika na DAN .S. KENNEDY, kwa wale watu wa maeketing wanamjua kwa maana anajulikana kama baba wa direct marketing



hiki kitabu kinazungumzia jinsi gani unaweza ukafundisha watu wengine idea zako au maarifa ulionayo. so kama mjasiriamali au mfanya biashara kuonana na watu kila siku hyo ni sehemu na kuwaeleza juu ya kile unachokifahamu kama mtaalamu ni sehemu ya kazi. so hiki kitabu kinaeleza kwa undani jinsi gani kama mtaalam unaweza kuwaeleza watu wasio na utaalamu wowote kuhusu jambo unalowaeleza na bado wakakuelewa vizuri na wakakubali service yako au bidhaa yako










































5 BEST BUSINESS BOOKS TO READ 2020 5 BEST BUSINESS BOOKS TO READ 2020 Reviewed by Maktaba on January 20, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.