THE RICHEST MAN IN BABYLON
Kitabu: Richest Man In Babylon
Mpitiaji:- Madam
THE FIRST CURE
Start the purse to fattening.
Kwa kila sarafu kumi uingizazo kwenye kifuko chako cha akiba tumia 9 tu na ubakize Moja.kwa zoezi Hilo kifuko chako kitaendelea kujaa/kunenepa na kadri kinavyozidi kunenepa ndivyo utakavyozidi kufurahi na kupata ahueni ya moyoni mwako.
Second cure.
-Control the expenditures.
Muandishi anaanza kwa kusema. Mwanafunzi mmoja akauliza itakuwaje mtu atunze 1/10 ya aliyopata ikiwa hata pesa yote aliyoipata haitoshi kwa matumizi?" Arkad anamjibu kila mtu ana tamaa ya kujitosheleza. Hata Mimi pamoja na Utajiri wangu mwadhani naweza jitosheleza kwa kila nitamanicho? La hasha, Nna banwa na muda, nabanwa na nguvu, nabanwa na umbali na nnapoafiri, kuna mipaka pia katika kula kwangu etc
Arkad akawashuri kuwa wachague Yale ambayo ni muhimu na ambayo tu yanawezekana katika ile 9/10 na hayo mengine yaachwe.
Kwa hiyo second cure inaeleza jinsi kupanga bajeti, tumia 9/10 kwa kwa mambo muhimu na 1/10 isiguswe. Kwamba tutumie kadri ya tupatacho na sio kutumia zaidi ya tupatacho.
THE RICHEST MAN IN BABYLON
Reviewed by Maktaba
on
September 15, 2017
Rating:
No comments: